20 min

Mkuu wa majeshi ya Kenya Francis Ogolla aaga dunia, ziara ya wajumbe wa EU DRC Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

    • News

Makala hii inaangazia yaliyojiri nchini Kenya na kifo cha mkuu wa majeshi ya nchi hiyo KDF aliyepoteza maisha na maafdisa wengine tisa wa jeshi katika ajali ya helikopta Alhamisi Aprili 18, rais William Ruto alitangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa, mgomo wa wafanyabiashara huko Kampala Uganda, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa na EU huko Goma kutathmini hali ya kibinadamu kwa waliokimbia mapigano ya M23, Senegal, pia Togo kuhusu ziara ya ujumbe wa ECOWAS, lakini pia mashambulio kati ya Iran na Israel.

Top Podcasts In News

The Rest Is Politics
Goalhanger Podcasts
The News Agents
Global
Electoral Dysfunction
Sky News
Leading
Goalhanger Podcasts
Newscast
BBC News
The Rest Is Money
Goalhanger Podcasts

More by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu
RFI Kiswahili
Wimbi la Siasa
RFI Kiswahili
Nyumba ya Sanaa
RFI Kiswahili
Muziki Ijumaa
RFI Kiswahili
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
RFI Kiswahili
Mjadala wa Wiki
RFI Kiswahili