22 集

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Siha Njema RFI Kiswahili

    • 健康與體能

    Sera kuhusu idadi ya watu inavyoathiri uchumi ,afya na hali ya maisha

    Sera kuhusu idadi ya watu inavyoathiri uchumi ,afya na hali ya maisha

    Mataifa ya Afrika bado yanaendelea kushuhudia kasi ya ongezeko la watu ijapokuwa chumi za Afrika hazifanyi vizuri inavyotakikana

    • 9 分鐘
    Juhudi za kuukabili ugonjwa wa Mycetoma kutumia dawa zilizofanyiwa utafiti Sudan

    Juhudi za kuukabili ugonjwa wa Mycetoma kutumia dawa zilizofanyiwa utafiti Sudan

    Mycetoma ni mojawapo ya magonjwa yaliyopuuzwa ingawa unaendelea kuwaathiri wengi haswa watu wanaokaa maeneo kavu na jamii zilizotengwa

    • 10 分鐘
    Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura

    Mataifa ya Afrika yashinikiza mwongozo wa kukabiliana na hali ya dharura

    Mataifa wanachama wa shirika la afya duniani ,WHO yanayokongamano katika kongamano la afya ya 77 jijini Geneva yanataka kuwepo mwongozo wa afya kukabiliana na hali ya dharura baada ya janga la COVID 19

    • 9 分鐘
    Matatizo ya afya ya akili yasipotatuliwa huwaathiri mustakabali wa watoto

    Matatizo ya afya ya akili yasipotatuliwa huwaathiri mustakabali wa watoto

    Watoto na  vijana walioshuhudia dhulma , kupata kiwewe,mara nyingi wanajikuta hawaamini katika uhusiano ,huwa waathiriwa wa dhulma za kimapenzi

    • 10 分鐘
    Changamoto za afya ya akili miongoni mwa watoto na vijana Afrika

    Changamoto za afya ya akili miongoni mwa watoto na vijana Afrika

    Kumekuwa na ongezeko la idadi ya watoto na vijana wanaokabiliwa na changamoto za  afya  ya akili

    • 10 分鐘
    Mimba za utotoni zaendelea kuongezeka ukanda wa Afrika Mashariki

    Mimba za utotoni zaendelea kuongezeka ukanda wa Afrika Mashariki

    Idadi kubwa ya wasichana wanaopata mimbo za utotoni wapo katika nchi za Afrika kwa mujibu wa shirika la afya duniani pia UNFPA

    • 10 分鐘

關於健康與體能的熱門 Podcast

Huberman Lab
Scicomm Media
健人港人話 Steven Talks
Steven Yu
The Psychology of your 20s
iHeartPodcasts
Just One Thing - with Michael Mosley
BBC Radio 4
On Purpose with Jay Shetty
iHeartPodcasts
Perform with Dr. Andy Galpin
Dr. Andy Galpin

RFI - Radio France Internationale的更多節目

公民论坛
RFI - 法国国际广播电台
Archives d'Afrique
RFI
Marchés du monde
RFI
No Title
RFI Kiswahili
No Title
RFI ខេមរភាសា / Khmer
No Title
RFI Tiếng Việt