26分

Chakula bado ni cha Vibandani: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast Gumzo na Mwanaspoti

    • スポーツ

Licha ya kutamba katika mashindano ya tenisi, Angela Okutoyi bado anapitia maisha magumu. Katika mahojiano na Mhariri wa Michezo, Ali Hassan Kauleni, mshindi huyo wa taji la Wimbledon anasimulia masaibu ambayo amepitia katika safari yake ya mchezo wa tenisi. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane anasema bado analazimika kukula vibandani licha ya ahadi kutoka kwa maafisa wa serikali ya kumsaidia.

スポーツのトップPodcast

ピッチサイド 日本サッカーここだけの話
読売新聞ポッドキャスト
石橋貴明のGATE7
TBS RADIO
ラジオ・クラッキー
倉敷保雄
まさか山を走るとは
清宮由香里と白川裕登
Running Channel(ランニング チャンネル)
Rei Ueda
TT Lounge FM
小林祐三 / Yuzo Kobayashi