8分

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi Gumzo na Mwanaspoti

    • スポーツ

Magari ya hybrid ambayo kwa mara ya kwanza yalitumika katika mashindano ya dunia ya uendeshaji magari hayauzwi ila yanatengezwa tu kwa ajili ya mashindano.
Abdul Sidi ambaye alikuwa dereva vilevile msaidizi yaani navigator anasema magari ya hybrid yametengezwa na teknolojia ya juu zaidi na kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kuendesha.
Sidi amezungumza na mwanahabari wetu, Walter Kinjo kuhusu teknolojia hii ya magari ya safari rally ya hybrid.

スポーツのトップPodcast

ピッチサイド 日本サッカーここだけの話
読売新聞ポッドキャスト
石橋貴明のGATE7
TBS RADIO
ラジオ・クラッキー
倉敷保雄
まさか山を走るとは
清宮由香里と白川裕登
Running Channel(ランニング チャンネル)
Rei Ueda
TT Lounge FM
小林祐三 / Yuzo Kobayashi