10分

Gumzo na Mwanaspoti Podcast: Magari yetu ni ya viwango vya chini-Dennis Mwenda Gumzo na Mwanaspoti

    • スポーツ

Dennis Mwenda ambaye ni dereva vilevile msaidizi katika mashindano ya Dunia ya Safari Rally anasema magari ambayo yanatumika na Wakenya katika mashindano ya Safari Rally ya WRC ni ya viwango vya chini.
Katika mahojiano na mwanahabari wetu, Dennis anasema kutokana na ukosefu wa ufadhili ni vigumu sana kupata magari vya viwango vya juu kutokana na gharama.
Dennis ambaye vilevile anaelezea safari yake katika uendeshaji magari ni miongoni mwa madereva ambao watashiriki mashindano ya Safari Rally makala ya mwaka 2022.

スポーツのトップPodcast

ピッチサイド 日本サッカーここだけの話
読売新聞ポッドキャスト
石橋貴明のGATE7
TBS RADIO
まさか山を走るとは
清宮由香里と白川裕登
ラジオ・クラッキー
倉敷保雄
Running Channel(ランニング チャンネル)
Rei Ueda
TT Lounge FM
小林祐三 / Yuzo Kobayashi