MAANA YA NETWORK MARKETING
Josias Charles
Network Marketing au (Usambazaji wa kimtandao) ni mfumo wa usambazaji wa bidhaa ambao unaruhusu msambazaji aliyekwishajiunga kuunganisha wasambazaji wengine wapya chini yake. Msambazaji mpya akijiunga chini ya msambazaji flani, anakuwa sehemu ya mtandao wa huyo msambazaji wa juu yake. Msambazaji aliyekwishajiunga anaweza akauza bidhaa, na hulipwa mapato kulingana na kiasi cha bidhaa alizouza yeye mwenyewe pamoja na bıdhaa zilizouzwa na wasambazaji waliomo kwenye mitandao wake yaani chini yake. Pia msambazaji anapata faıda kwenye bidhaa alizouza kwa watu wasio wasambazaji. Network Marketing huweza kumtajirisha mtu kwa muda mfupi ikiwa mtu huyo yupo makini na kazi hii.
- 1 Episode
About
Network Marketing au (Usambazaji wa kimtandao) ni mfumo wa usambazaji wa bidhaa ambao unaruhusu msambazaji aliyekwishajiunga kuunganisha wasambazaji wengine wapya chini yake.
Msambazaji mpya akijiunga chini ya msambazaji flani, anakuwa sehemu ya mtandao wa huyo msambazaji wa juu yake.
Msambazaji aliyekwishajiunga anaweza akauza bidhaa, na hulipwa mapato kulingana na kiasi cha bidhaa alizouza yeye mwenyewe pamoja na bıdhaa zilizouzwa na wasambazaji waliomo kwenye mitandao wake yaani chini yake.
Pia msambazaji anapata faıda kwenye bidhaa alizouza kwa watu wasio wasambazaji.
Network Marketing huweza kumtajirisha mtu kwa muda mfupi ikiwa mtu huyo yupo makini na kazi hii.
Information
- CreatorJosias Charles
- Episodes1
- RatingClean
- Copyright© Josias Charles
- Show Website