24 episodes

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Habari RFI-Ki RFI Kiswahili

    • News

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

    Haiti : Je polisi wa Kenya watafulu kuzima vurugu kule Haiti

    Haiti : Je polisi wa Kenya watafulu kuzima vurugu kule Haiti

    Kenya imetuma polisi wake nchini Haiti kwenda kujaribu kudhibiti magenge ya wahalifu ambayo yametatiza usalama wa taifa hilo kwa kipindi kirefu.

    • 9 min
    Burundi : Uhaba wa mafuta wazidi kutatiza shughuli za usafiri

    Burundi : Uhaba wa mafuta wazidi kutatiza shughuli za usafiri

    Katika makala haya tunaangazia  taifa la Burundi linalozidi  kushuhudia uhaba mkubwa wa mafuta, hili likitatatiza shughuli za usafiri katika taifa hilo la Africa mashariki.

    • 9 min
    Nini kifanyike kutatua wimbi la wakimbizi Africa

    Nini kifanyike kutatua wimbi la wakimbizi Africa

    Katika makala haya tunajadili maadimisho siku ya kimataifa ya wakimbizi, yaliofanyika juma lililopita  ripoti zikionesha watu zaidi ya millioni 120 duniani wanakimbia mataifa yao kutokona na mizozo, uchumi mbaya na mabadiliko ya tabia nchi.

    • 10 min
    Mada huru kutoka waskilizaji kuhusu matukio ya wiki

    Mada huru kutoka waskilizaji kuhusu matukio ya wiki

    • 9 min
    Matukio ya ajali za moto katika nchi tofauti Afrika Mashariki ikiwemo Bukavu DRC

    Matukio ya ajali za moto katika nchi tofauti Afrika Mashariki ikiwemo Bukavu DRC

    • 10 min
    Mvutano kati ya serikali ya Kenya kuhusu mafao ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Mvutano kati ya serikali ya Kenya kuhusu mafao ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta

    Ofisi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta imelalamikia kuhujumiwa kwa kutopewa ufadhili unaofaa

    • 10 min

Top Podcasts In News

Forklart
Aftenposten
Oppdatert
NRK
730.no
730.no & Acast
Det Store Bildet
Brandpeople og Bauer Media
Chit Chat med Helle
Helle Nordby & Acast
The Daily
The New York Times

You Might Also Like

Kwa Undani - Voice of America
VOA
The Documentary Podcast
BBC World Service
Global News Podcast
BBC World Service
WSJ What’s News
The Wall Street Journal
FT News Briefing
Financial Times

More by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki
RFI Kiswahili
Wimbi la Siasa
RFI Kiswahili
Nyumba ya Sanaa
RFI Kiswahili
Muziki Ijumaa
RFI Kiswahili
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
RFI Kiswahili
Mjadala wa Wiki
RFI Kiswahili