Выпусков: 8

Inahusu maongezi kuhusu maisha kama maisha, kwenye maisha kuna vitu vingi kama mapenzi, uonevu kwa wanawake, watoto na wanaume pia, biashara, siasa, etc.....

Maisha Talk Dede Issangya

    • Общество и культура

Inahusu maongezi kuhusu maisha kama maisha, kwenye maisha kuna vitu vingi kama mapenzi, uonevu kwa wanawake, watoto na wanaume pia, biashara, siasa, etc.....

    Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano

    Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano

    Choose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako

    • 17 мин.
    Why do people break up?/kwanini watu wanaachana??

    Why do people break up?/kwanini watu wanaachana??

    Kuna sababu mbali mbali za mahusiano kama vile dharau, uaminifu nakadhalika

    • 10 мин.
    Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusaliti

    Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusaliti

    Katika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti

    • 5 мин.
    Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sana

    Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sana

    Katika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu

    • 10 мин.
    Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jambo

    Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jambo

    Wanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever.

    • 12 мин.
    Kusoma alama/signs katika mahusiano.

    Kusoma alama/signs katika mahusiano.

    Siku zote watu huwa tupo kwenye mahusiano lakin mahusino hayo huenda yalishaosha kitambo ila tu bado hatuelewi kuwa yameshaisha au bado mtu unalazimisha kuwa kwenye mahusiano ambayo yameshafikia ukingon so e end up with a broken heart every now and then and there's no one to console you because you're the one who chose to suffocate yourself instead of moving on.

    • 19 мин.

Топ подкастов в категории «Общество и культура»

Горячая Линия с Мари Новосад
Мари Новосад
дочь разбойника
libo/libo
Психология с Александрой Яковлевой
Александра Яковлева
Женщины и всё
Горящая изба
Мужской разговор
Трёшка
Дорогие коллеги
Dear Colleagues