20 min

Diomaye Faye kuapishwa jumanne kama rais wa Senegal, ziara ya rais wa DRC Mauretania Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

    • News

Rais mteule wa senegal akutana na rais anayemaliza muhula wake Macky Sall, chama kipya cha aliyekuwa rais wa Afrika kusini Jacob Zuma chazuwiwa kushiriki uchaguzi wa mwezi mei,kamati ya haki za kibinadamu ya umoja wa mataifa, yaitaka Uingereza kuachana na mpango wake wa kuwahamisha wahamiaji kwenda nchini Rwanda, na rais wa DRC Félix Tshisekedi ahitimisha ziara yake huko Mauretania, tutaangazia siasa za Kenya, Tanzania, yaliyojiri huko Israeli na kwengineko duniani.

Top Podcasts In News

THE STANDARD PODCAST
THE STANDARD
Global News Podcast
BBC World Service
SONDHI TALK
sondhitalk
The Daily
The New York Times
WSJ Tech News Briefing
The Wall Street Journal
THE STANDARD NOW
THE STANDARD

More by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa
RFI Kiswahili
Nyumba ya Sanaa
RFI Kiswahili
Muziki Ijumaa
RFI Kiswahili
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
RFI Kiswahili
Mjadala wa Wiki
RFI Kiswahili
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
RFI Kiswahili