7 episodes

Habari, karibu kusikiliza vipindi vyangu. Naamini katika kila mada nitakayogusa utaweza kujifunza kitu pamoja na kupata burudani😊 Ahsante.

Nusu saa Joanlisa Mzava

    • Society & Culture
    • 5.0 • 7 Ratings

Habari, karibu kusikiliza vipindi vyangu. Naamini katika kila mada nitakayogusa utaweza kujifunza kitu pamoja na kupata burudani😊 Ahsante.

    UKATILI WA KIJINSIA

    UKATILI WA KIJINSIA

    Elimu juu ya mambo machache kuhusu ukatili wa kijinsia

    • 33 min
    SAFARI YA KUTIMIZA KUSUDI (Part 1)

    SAFARI YA KUTIMIZA KUSUDI (Part 1)

    Fahamu vitu vya kufanya na aina za watu unao kutana nao kwenye safari ya kutimiza kusudi lako la maisha.

    • 29 min
    TOFAUTI YA UPENDO NA TAMAA

    TOFAUTI YA UPENDO NA TAMAA

    Kujua tofauti zilizopo kati ya upendo na tamaa kwenye mahusiano.

    • 34 min
    URAFIKI/FRIENDSHIP

    URAFIKI/FRIENDSHIP

    Episode hii itakupa ujuzi wa vitu vichache kuhusu urafiki na aina za marafiki kwenye maisha yetu ya kila siku. Karibu 😊

    • 29 min
    VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO

    VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO

    Kutoa elimu ya vitu tunavyotakiwa kuvifanya au kuvizingatia kabla ya kuanzisha mahusiano

    • 32 min
    NGUVU YA MSAMAHA

    NGUVU YA MSAMAHA

    To give people more knowledge about forgiveness

    • 30 min

Customer Reviews

5.0 out of 5
7 Ratings

7 Ratings

Dine with Nnana ,

Bonge la show✨✨✨

Congratulations my bestfriend, I LOVE YOU SO MUCH and Im so Proud of you❤️❤️❤️

Hii postcast ni nzuri sana🔥🔥🙌🙌❤️❤️

Helbert Nyaki ,

Nusu saa ya muhimu sana👏🏾

Tunapitia mengi katika maisha na ni muda mchache sana unaweza kubadili vingi katika maisha yetu. Kipindi hichi cha nusu saa ni kizuri sana katika kuimarisha maisha yetu, binafsi nimekipenda sana na ninatamani watu wengi zaidi waweze kutenga muda wa kusikiliza mafundisho yaliyomo ndani.

Congratulations to the host of the show😊

Top Podcasts In Society & Culture

To My Sisters
Courtney Daniella Boateng & Renée Kapuku
Keep it Positive, Sweetie
Crystal Renee Hayslett
What Now? with Trevor Noah
Spotify Studios
Daily Inspiration: The Steve Harvey Morning Show
Premiere Networks
SAUTI-SIKIKA
Jeremiah Paul Wandili
The Oversharers Podcast
Kally and Hodo