Makala ya leo yanaangazia Kikao cha viongozi wa Afrika, kilichotamatika rasmi mwishoni mwa juma lililopita nchini Ethiopia, mzozo wa DRC na Sudan ukigubika mijadala yao.
Hata hivyo vikao hivyo vimekamilika bila suluhu ya mizozo ya nchi zote mbili, ambapo vyongozi waliishia kwa kutoa wito wa kusitisha mapigano. tulimuuliza msikilizaji iwapo anaridhika na matokeo ya kikao hicho na anadhani nini cha zaidi viongozi hawa wangefanya kukomesha mizozo barani Afrika
정보
- 프로그램
- 주기매일 업데이트
- 발행일2025년 2월 17일 오후 4:00 UTC
- 길이10분
- 등급전체 연령 사용가