Makala ya mwisho katika mwaka 2024, salamu wa wasikilizaji na msanii Isifiwe Kibangula

Changu Chako, Chako Changu

Heri ya mwaka mpya msikilizaji wa RFI Kiswahili popte pale ulipo. Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu ninakukaribisha katika makala haya ya mwishgo kabisa changu chako chako changu katika mwaka 2024. Leo nakukumbusha mada kadhaa zilizo zungumziwa mwaka 2024, lakini pia ninapokea salam zako za mwaka mpya wa 2024, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki isifiwe Kibangula kutoka hko Sweeden ambae ametangawa kubadili muziki wake.

Karibu na kwa mara nyingine tena kheri ya mwaka mpya.

Pour écouter des épisodes au contenu explicite, connectez‑vous.

Recevez les dernières actualités sur cette émission

Connectez‑vous ou inscrivez‑vous pour suivre des émissions, enregistrer des épisodes et recevoir les dernières actualités.

Choisissez un pays ou une région

Afrique, Moyen‑Orient et Inde

Asie‑Pacifique

Europe

Amérique latine et Caraïbes

États‑Unis et Canada