Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 6: Umuhimu wa Kumnyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama pekee kwa muda wa miezi sita ya awali.
Sehemu ya 6 ya Naweza Show inakuletea simulizi kutoka Mama kiko.
Yeye ni Mama ila alishindwa kabisa kufuata kanuni za kumnyonyesha mwanae kwa kipindi cha miezi sita, sasa ni yapi yalimsibu mama kiko baada ya hapo? Simulizi hii itakufunza umuhimu ya maziwa ya mama kwa mtoto ndani ya miezi sita ya mwanzo bila kumpatia kitu chochote kile zaidi ya maziwa ya mama.
Информация
- Подкаст
- Опубликовано2 мая 2020 г., 11:00 UTC
- Длительность27 мин.
- Сезон2
- Выпуск6
- ОграниченияБез ненормативной лексики