Rama Dee ni jina lenye sehemu yake katika Bongo Fleva. Mazungumzo yangu na Rama Dee ni kuhusu kazi yake ambayo inakaribia kutimiza miaka mitano sasa ya Kipenda Roho. Aliziandika vipi nyimbo katika album hii,nani alishirikiana nae na kipi anakumbuka kuhusu kazi hii. Haya ni baadhi ya mambo tuliyozungumza. Lakini shauku kubwa ni wapi Rama Dee anakwenda? Utamsikia akisema kuhusu hilo pia. Karibu ufurahie mazungumzo haya, shirikisha mashabiki na pia Subscribe katika podcast hii.
資訊
- 節目
- 發佈時間2022年3月24日 上午9:51 [UTC]
- 長度1 小時 14 分鐘
- 季數1
- 集數24
- 年齡分級兒少適宜