AfyaBlock With Dr Rosemary Rosemary Mushi
-
- Hälsa och motion
In here we discuss healthy matters! We talk about how our lifestyles may affect our body and mental healthy. We talk about common diseases in our society and provide a preventive education.
-
Ujue ugonjwa na chanjo ya HOMA YA INI
Taarifa hizi zimetolewa katika website ya shirika la afya duniani na ripoti ya wizara ya afya siku ya ini duniani
-
HIMOFILIA ( HAEMOPHILIA )
Ni ugonjwa wa kurithi, ni ugonjwa usioambukizwa ni ugonjwa wenye matibabu ya kuwafanya wagonjwa waendelee kuishi wakiwa na ustawi mzuri wa maisha.
-
-
Maumivu Ya Mgongo
Jitahidi kulinda mgongo wako. Maumivu ya mgongo yanaweza sababisha kushindwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku na kuleta utegemezi katika jamii.
-
AfyaBora Ya Figo Kwa Wote
Figo ni kiungo muhimu sana. Tunza FIGO yako kwa ustawi wako
-
Danger Signs And Symptoms During Pregnancy
Know the danger signs and take actions