Hatuwa za mwisho za maandalizi ya tamasha la watu wa kabila la bashi la desemba 6

Changu Chako, Chako Changu


Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo kadhaa ikiwemo lugha na matumizi yake, tabia, utu, utamaduni, mila,mitindo na mengineo. Watu wa kabila la washi mashariki mwa DRC wameandaa tamasha la kutambulisha utamaduni wao, ambalo ni msimu wa pili na limepangwa kufanyika desemba 6 hadi 8 huko Bukavu.

Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea sehemu hii ya tatu na ya mwisho ya maandilizi ya makala haya. unaweza kusikiliza sehemu ya kwanza kubonyeza hapa (sehemu ya kwanza) Lakini pia sehemu ya pili kwa kubonyeza hapa (Sehemu ya pili)

Asante kwa kuendelea kuwa muaminifu kwa radio yako na kwa mtangazaji wako asiependa makuu unaweza kumfollow kwa kubonyeza hapa Billy Bilali

Para ouvir episódios explícitos, inicie sessão.

Fique por dentro deste podcast

Inicie sessão ou crie uma conta para seguir podcasts, salvar episódios e receber as atualizações mais recentes.

Selecionar um país ou região

África, Oriente Médio e Índia

Ásia‑Pacífico

Europa

América Latina e Caribe

Estados Unidos e Canadá