14 avsnitt

KIZAZI KIPYA PODCAST ni kwa wale wasio ogopa kuwa wao,
Kwa wale walio tambua kuwa wao ni wenye nguvu zaidi ya walivyo ambiwa, walio tambua kuwa furaha ya kweli hutoka ndani na haitokani na hali yoyote ya nje,
Kwa wale ambao badala ya kupaambana na hali za nje ili kupata amani ya moyo hugeuka na kuangalia ndani yao,
Kwa wale walio amua kuishi kwa mipaka.
Vilikuwepo vizazi na vizazi labda viliyajua haya na kutoyasimamia, hii ni kwa wale walio amua kuyasimamia haya,
Hawa ni KIZAZI KIPYA na hii podcast ni kwa ajili yao.

Kizazi Kipya Podcast kizazikipyapodcast

    • Hälsa och motion

KIZAZI KIPYA PODCAST ni kwa wale wasio ogopa kuwa wao,
Kwa wale walio tambua kuwa wao ni wenye nguvu zaidi ya walivyo ambiwa, walio tambua kuwa furaha ya kweli hutoka ndani na haitokani na hali yoyote ya nje,
Kwa wale ambao badala ya kupaambana na hali za nje ili kupata amani ya moyo hugeuka na kuangalia ndani yao,
Kwa wale walio amua kuishi kwa mipaka.
Vilikuwepo vizazi na vizazi labda viliyajua haya na kutoyasimamia, hii ni kwa wale walio amua kuyasimamia haya,
Hawa ni KIZAZI KIPYA na hii podcast ni kwa ajili yao.

    JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako

    JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako

    Katika Episode hii Stephen Kaaya amegusia kuhusu kuurudisha uwezo wako wa kuamua cha kufanya kwako, hasa pale unapo kuwa katika tukio ambalo ni la ghafla na hukulitaka. Itakua vyema sana ukichukulia matukio kama hayo kuwa ni fursa, fursa ya kurudisha uwezo wako; uwezo wa kuamua cha kufanya. Chukua fursa alafu twenzetu. Kwa mengi zaidi sikiliza Episode nzima pia tembelea instagram account; @kizazikipyapodcast . 

    • 11 min
    JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi

    JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi

    Hauitaji kujua kila kinacho endelea ili kuwa na amani ya kufanya maamuzi. Hauto weza kujua story nzima kuhusu mazingira yanayo kuzunguka au mtu, hata kama akikwambia mwenyewe. Fanya kwa uwezo wako kwa kuamini kile ulicho sikia au kuona kuwa siyo story nzima. Amini kuwa unacho fanya ni sahihi, na fanya unavyo jisikia ndani kwa upendo. Kwa mengi zaidi sikiliza episode hii ambapo nimefafanua zaidi. Pia tembelea instagram account; @kizazikipyapodcast website; kizazikipya.online 

    • 15 min
    JUMA JIPYA #03: Tuliza Moyo

    JUMA JIPYA #03: Tuliza Moyo

    Karibu kwenye episode nyingine ya Juma Jipya Edition ambapo Stephen Kaaya amejaribu kuku kumbusha kutuliza moyo kwa kukumbuka wewe ni binadamu na kupunguza mwendo. Tunapo hisi kama kuna uzito ndani, kama huwezi kuendelea, unapata hisia nyingi kwa wakati mmoja na unashindwa kuelewa ufanye nini, kama unajisikia kushindwa na kukata tama. Ni sawa, ni sawa kabisa, wewe ni binadamu na changamoto ni sehemu ya kukua, changamoto ni sehemu ya hatua zitazo kusaidia kusonga mbele. Inawezekana kuzitumia vizuri.

    • 14 min
    JUMA JIPYA #02: Simamia Ukweli Wako

    JUMA JIPYA #02: Simamia Ukweli Wako

    Kwenye episode hii ya Juma Jipya Edition ya Kizazi Kipya Podcast Stephen Kaaya amejaribu kuku kumbusha kusimama tena na kuwa wewe kikamilifu, kuusikiliza ule msukumo ulio ndani yako, ule msukumo wa kujikubali na  kuusimamia ukweli wako. Simama, uusimamie, hata kama ikikubidi kufanya hivyo peke yako, sawa!! Ikikubidi kutembea peke yako huku ukiamini huo ni ukweli wako na unafanya hivyo kwa upendo ni jambo zuri na la heri kuliko kufuata mkumbo.

    • 9 min
    JUMA JIPYA #01: Tunavyo Anza 2021

    JUMA JIPYA #01: Tunavyo Anza 2021

    Katika episode hii ya Juma Jipya edition  Stephen kaaya amejaribu kuku kumbusha kuwa katika kila mipango tuliyo jiwekea ili tuikamilishe mwaka huu wa 2021 ni muhimu kuwa na misingi imara ambayo ni kwanzia sababu ya kufanya ulilopanga au unalo panga sasa, kiasi cha muda na nguvu utazo tumia kwenye jambo hilo, utayari wako juu ya changamoto zake na la muhimu zaidi ni litakusaidia vipi wewe kupiga hatua yaani kuwa bora zaidi, siyo zaidi ya mwingine bali zaidi ya wewe uliye kuwa mwaka jana.

    • 12 min
    TRAILER

    TRAILER

    Kwenye episode hii utakua na Stephen Kaaya akikuelezea kuhusu Kizazi Kipya Podcast kwanzia mwanzilishi na mtayarishaji wake, hadithi ya maisha yake kwa ufupi na nini kilimpelekea kuanzisha KKP, pia natakuelezea mambo ambayo yatakuwa yakiongelewa kwenye hii podcast.

    • 11 min

Mest populära poddar inom Hälsa och motion

Nyfiken På
Kristin Kaspersen
Johannes Hansen Podcast
Johannes Hansen
Så in i Själen
Acast
Hälsorevolutionen
Acast
Träningspodden
Acast
Kjos
Perfect Day Media