Mafanikio101

Mafanikio101

Karibuni kwenye podcast hii ambayo itakua ina summerize na kuchambua vitabu mbali mbali vinavyofundisha siri za mafanikio na personal development. Tunavyoendelea tutapata nafasi ya kuzungumza na watu waliofanikiwa katika nyanja tofauti tofauti kusikia namna walivyoweza kufanikiwa.

About