Nendiwe Podcast
Nendiwe Podcast
Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inalenga kupanua maarifa, uelewa na uchambuzi wa kina kuhusu ustawi, utunzaji na uponyaji kwa mtazamo wa kifeminia. Kupitia mazungumzo haya, tunahoji na kuifumua mifumo ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni inayochangia kudhoofisha ustawi wa wanawake na wasichana, huku tukihamasisha mabadiliko yanayojenga ustawi wa kifeminia, haki, utu na maisha yenye usawa
Episodes
- 2 Episodes
About

Information
- CreatorNendiwe Podcast
- Years Active2026
- Episodes2
- RatingClean
- Copyright© 2026 Nendiwe Podcast