MAELEZO PODCASTS
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
Episodes
- 4 Episodes
About

Information
- CreatorTanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
- Years Active2020 - 2026
- Episodes4
- RatingExplicit
- Copyright© 2026 MAELEZO PODCASTS
- Show Website