
Gadiel Mpungu Podcast
Gadiel Mpungu
Karibu katika Podcast hii ya Mtumishi wa Mungu; Pastor Gadiel Mpungu. Lengo la Pastor Gadiel Mpungu kuanzisha Podcast hii ni kukufundisha na kukutia moyo ili uweze kuzifikia ndoto zako, kukusaidia uweze kuwa na mwanzo mpya na kuishi maisha bora kila iitwapo leo. Pastor Gadiel pamoja na familia yake, kwasasa wanaishi nchini Marekani katika mji wa Seattle mahala anapochunga kanisa la The Eagles House alilo lianzisha. Tembelea mitandao ya kijamii ya Pastor Gadiel Mpungu; Instagram @gadielmpungu Facebook @gadielmpungu Twitter @mpungu_gadiel YouTube Channel @ Gadiel Mpungu. Barikiwa.
- 1 Episode
About
Karibu katika Podcast hii ya Mtumishi wa Mungu; Pastor Gadiel Mpungu.
Lengo la Pastor Gadiel Mpungu kuanzisha Podcast hii ni kukufundisha na kukutia moyo ili uweze kuzifikia ndoto zako, kukusaidia uweze kuwa na mwanzo mpya na kuishi maisha bora kila iitwapo leo.
Pastor Gadiel pamoja na familia yake, kwasasa wanaishi nchini Marekani katika mji wa Seattle mahala anapochunga kanisa la The Eagles House alilo lianzisha.
Tembelea mitandao ya kijamii ya Pastor Gadiel Mpungu;
Instagram @gadielmpungu
Facebook @gadielmpungu
Twitter @mpungu_gadiel
YouTube Channel @ Gadiel Mpungu.
Barikiwa.
Information
- CreatorGadiel Mpungu
- Years Active2020 - 2022
- Episodes1
- RatingClean
- Copyright© Gadiel Mpungu
- Show Website