The Dugout

Anthon Mtui

Dugout ni mahali makocha na benchi la ufundi wanakaa wakati mechi inaendelea. Hapa tutaangalia mawazo, maoni, mapendekezo ya kuhusu match husika. Tutaongelea vionjo, magoli, makosa mbali mbali katika timu zilizokutana kwenye mpira wa miguu na kikapu. Host wako ni mimi Anthon Mtui.

About