
Ubora Podcast
Dr Chriss
Karibu kwenye Ubora Podcast! Tunatengeneza podcast za Kiswahili zenye mwelekeo wa kugusia maeneo mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maisha ya kila siku, kwa lengo la kutoa uchambuzi wa kina lakini pia kutatua changamoto zinazowakabili watu mbalimbali kwenye nyanja hizo. Kupitia mahojiano na wataalamu wa Nyanja hizo, watu mbalimbali wenye mifano hai, uzoefu na ujuzi mbalimbali, tunatathmini suluhu za vitendo katika changamoto hizi na kuja na suluhu na uchambuzi wa kina. Jiunge nasi katika podcast yetu na usisahau kutoa maoni yako na kushiriki podcast yetu na watu wengine.
Trailer
About
Karibu kwenye Ubora Podcast! Tunatengeneza podcast za Kiswahili zenye mwelekeo wa kugusia maeneo mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maisha ya kila siku, kwa lengo la kutoa uchambuzi wa kina lakini pia kutatua changamoto zinazowakabili watu mbalimbali kwenye nyanja hizo.
Kupitia mahojiano na wataalamu wa Nyanja hizo, watu mbalimbali wenye mifano hai, uzoefu na ujuzi mbalimbali, tunatathmini suluhu za vitendo katika changamoto hizi na kuja na suluhu na uchambuzi wa kina.
Jiunge nasi katika podcast yetu na usisahau kutoa maoni yako na kushiriki podcast yetu na watu wengine.
Information
- CreatorDr Chriss
- Years Active2K
- Episodes1
- RatingClean
- Show Website