![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
18 episodes
![](/assets/artwork/1x1-42817eea7ade52607a760cbee00d1495.gif)
KaBrazen The LAM Sisterhood
-
- Kids & Family
Stories of Brazen women from Africa
-
-
Ketty Nivyabandi | Kiswahili
Tata Nduta anasimulia hadithi ya msichana aliyeota kwa sauti.
-
-
Bi Kidude | Kiswahili
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.
Tafadhali zingatia kwa makini: Miongoni mwa mada zilizopo ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto. -
Zarina Patel | Kiswahili
Ili kuutamatisha msimu wetu wa kwanza wa kiswahili, tunakusimulia hadithi ya Zarina Patel, msichana mdogo aliyeokoa bustani ya Jeevanjee kwa kuzuia igeuzwe kuwa maegesho ya magari.
Kwa hivyo waite wenzako, mketi starehe na mfurahie hadithi hii! -
Msichana Mkimya | Kiswahili
Hiileo, tunasikiliza hadithi muruwa inayohusu msichana mkimya aliyewaokoa watu wake. Kama atakavyowaonyesha msichana huyu, ili kutatua tatizo lolote, ni lazima uwe na uwezo wa kusikiliza, kutazama na kujifunza.
Ni bora kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi 9 na wote wanaopenda hadithi.