
Mwl. Onesmo
Mbingu Duniani
Karibu Mbingu Duniani, podcast inayolenga kukuza ukuaji wa kiroho, hekima ya Kiungu, na kukutana na Mungu kwa njia inayobadilisha maisha. Kila kipindi kinaleta mafundisho yenye nguvu, maombi ya dhati, na maarifa ya prophetic ili kuimarisha imani yako na kuongeza uelewa wako wa Neno la Mungu. Uwe unatafuta kuponywa, kuvuka kimaisha, au kutembea karibu zaidi na Mungu, podcast hii itakuinua na kuktia moyo. Jiunge nasi kufuatilia Mafundisho ya Mbingu Duniani.
Trailer
About
Karibu Mbingu Duniani, podcast inayolenga kukuza ukuaji wa kiroho, hekima ya Kiungu, na kukutana na Mungu kwa njia inayobadilisha maisha. Kila kipindi kinaleta mafundisho yenye nguvu, maombi ya dhati, na maarifa ya prophetic ili kuimarisha imani yako na kuongeza uelewa wako wa Neno la Mungu. Uwe unatafuta kuponywa, kuvuka kimaisha, au kutembea karibu zaidi na Mungu, podcast hii itakuinua na kuktia moyo.
Jiunge nasi kufuatilia Mafundisho ya Mbingu Duniani.
Information
- CreatorMbingu Duniani
- Years Active2026
- Episodes16
- RatingClean
- Copyright© Copyright 2026 Mbingu Duniani
- Show Website